Type in Your Email
Short News
WAFUNGWA WA KITANZANIA NCHINI KENYA
Serikali ya Jamhuri na Muungano wa Tanzania wameanza kufuatilia tetesi ya kwamba wafungwa wenye asili ya kitanzania nchini Kenya,kuteswa na kunyanyaswa.
Akiongea na wahariri wa vyombo tofauti vya habari ndani ya jiji la Dar es Salaam, Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe alitamka kua ili serikali ijihakikishie kama tetesi hizo ni za kweli au si za kweli kwa kutembelea magereza 3 ambayo watanzania wanatumikia kifungo pamoja akifuatiwa na balozi wa nchini Kenya, Nyasungara Kadege.
STUDENTS ON CAMPUS
University starts, some students don’t have accommodation but some got paid, ”boom” money…and some still waiting and waiting!!
… The first year students have arrived a little bit earlier than their seniors. Daruso is one of the best places to be around campus, if you really want to see the movements of the new students, and how some get frustrated just because they don’t know a place to sleep, other than a chance of squeezing into one single bed for three guys.
I must admit that our government is so slow in processing all documents meaning the registration process, that a student from Arusha or Songea or Dodoma or Kenya or Uganda and other parts of Tanzania and Africa together, that they know exctaly where they are supposed to sleep. Not only foreign students must be given first priority!
KESI YA PROF. MAHALU KUJULIKANA OKTOBA 17
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia jutoa uamuzi oktoba 17 mwaka huu hdidi ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyejua balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu na mwenzake Grace Martin aliyekua Afisa Utawala wa ubalozi huo kama ifutwe na iendelee kusikilizwa .
Hayo yalitamkwa hapo jana na Hakimu MKazi Mwandamizi Mfawidhi, Sivangilwa Mwangesi baada ya kundi zima la mawakili 3 wanaowatetea Prof. Mahalu na mwenzake kuping a maelezo ya awali na ushahidi waliyotakiwa kusomewa washtakiwa kwa madai hayana msingi.